Programu hii hutoa njia ya mkato ya kufikia Kidhibiti cha Manenosiri cha Google kwenye simu yako. Hali hii inafanya iwe rahisi na haraka kwako kupata na kudhibiti nenosiri, funguo zako za siri na mengineyo.
Kidhibiti cha Manenosiri cha Google tayari kimejumuishwa kwenye simu yako ya Android. Kinahifadhi manenosiri yako kwa usalama na kukusaidia kuingia katika akaunti kwa haraka zaidi.
Sasa ni rahisi kudhibiti manenosiri:
Ingia katika tovuti na programu kwenye kifaa chochote, bila kuhitaji kukumbuka wala kutumia tena manenosiri uliyoyatumia kwingine. Kidhibiti cha Manenosiri cha Google kimejumuishwa katika Chrome (kwenye mifumo yote) na Android.
Ilisasishwa tarehe
20 Ago 2025